Mpira wa Lisa na Hadithi Nyingine

Mpira wa Lisa na Hadithi Nyingine

KES390
Product Code: Mpira wa Lisa na Hadithi Nyingine
Stock Instock

Overview

Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kucumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na kat...

Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kucumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.

Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Chekechea na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umitisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:

  • Ujirani Wetu
  • Wanyama wa nyumbani


Product Specifications

Age Range: Kids 0-12

Pack Size: 1 PIECE

Book Type: Hardcopy

Region: Kenyan

Subject: Fasihi

Author: PAULINE KEA

Publisher: QUEENEX PUBLISHERS LTD

Class: PP2


BUY NOW Mpira wa Lisa na Hadithi Nyingine online in Nairobi at Emart Kenya

We offer same-day delivery in Nairobi within hours, and we send parcels to Mombasa, Eldoret, Nakuru, Kisumu, Kiambu, Voi, Nyahururu, Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Meru, Pridelands, Juja, Thika, Diani Beach, Kileleshwa, Murang’a, Wajir, Limuru, Garissa, Machakos, Kisii, Malaba Border, Tigoni Kiambu, and across all 47 counties of Kenya.

We also deliver across East Africa, including Uganda, Tanzania, and Sudan.

For quick orders Call/WhatsApp: 0799 978 966 / 0739 701 854.