Kamusi ya Karne ya 21(Toleo la 5) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
Product Specifications
Pack Size:1 PIECE
Book Type:Hardcopy
Language:Kiswahili
Region:Kenyan
Publisher:LONGHORN KENYA LIMITED
BUY NOW Kamusi ya Karne ya 21 Toleo la 5 online in Nairobi at Emart Kenya
We offer same-day delivery in Nairobi within hours, and we send parcels to Mombasa, Eldoret, Nakuru, Kisumu, Kiambu, Voi, Nyahururu, Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Meru, Pridelands, Juja, Thika, Diani Beach, Kileleshwa, Murang’a, Wajir, Limuru, Garissa, Machakos, Kisii, Malaba Border, Tigoni Kiambu, and across all 47 counties of Kenya.
We also deliver across East Africa, including Uganda, Tanzania, and Sudan.
For quick orders Call/WhatsApp: 0799 978 966 / 0739 701 854.