KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU -TUKI-

KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU -TUKI-

KES1,250
Product Code: KAMUSI
Stock Instock

Overview

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:zaidi ya vidahizo vipya 1 000kur...

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:

zaidi ya vidahizo vipya 1 000

kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali

zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana

nahau na misemo iliyotolewa maana.