MENTOR KIELEKEZI CHA KCPE KISWAHILI TEXTBOOK

MENTOR KIELEKEZI CHA KCPE KISWAHILI TEXTBOOK

KES750
Brand:TEXTBOOKS
Product Code: MENTOR KIELEKEZI CHA KCPE KISWAHILI TEXTBOOK
Stock Instock

Overview

Kimezingatia kikamilifu silabasi nzima ya Kiswahili inavyoelel

Kimezingatia kikamilifu silabasi nzima ya Kiswahili inavyoelel<ezwa na Taasisi ya Elimu ya Kenya.  Kimepangwa katika sura tisa ifuatavyo: Sarufl sehemu ya Kwanza, Sarufi sehemu ya Pill, Msamiati sehemu ya  Kwanza, Msamiati sehemu ya Pili, Kusikiliza no Kuongea, Mitungo, Ufahamu, Kuandika (Insha), Majaribio ya KCPE.  Kimefanyiwa utafiti wa kina na kutumia lugha nyepesi na pevu inayosahilisha uelewekaji wa dhana.  Fahamu zote zimezingatia masuala ibuka Kama vile Ufisadi, Haki za watoto, Utunzaji wa Mazingira, Uongozi  bora, Uhalifu na athari na adhabu zake na Teknolojia.  Kina michoro mbalimbali inayofafanua yaliyoelezwa.  Kinaonyesha, katika mabano, ngeli ya kila jina katika msamiati mbalimbali.  Kina angalau methali tano teule baada ya kila mada ya misamiati. Wingi wa baadhi ya msamiati tata